BM BARBERSHOP KINONDONI

Friday, September 7, 2012

DIAMOND APAGAWISHA US













1 comment:

  1. Kwa hakika nashangaa jinsi kijana huyu anavyofagiliwa kwa bidii na kupata umaarufu kama mwanamuziki wakati hajui hata kupiga tumba. Nyimbo zake zote za kutengenezesha studio kama bidhaa hakuna hata moja umerekodiwa kwa kupigwa zana studio. Shoo zake zote ni usanii tupu kwa back up ya CDs. Tunapiga kelele maadili hapo hapo tunamshangilia mvaa mlegezo, hereni, na kusuka kama mwanamke. Sijui tunakwenda wapi kama taifa.

    ReplyDelete