BM BARBERSHOP KINONDONI

Monday, December 24, 2012

MECHI YA MASHAIKI WA YANGA NA SIMBA 30/12/2012 KWENYE TWANGA FAMILY BONANZA YAWA GUMZO MTAANI

Mpamano wa Mashaiki wa Jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili 30/12/2012 ndani ya Viwanja vya Leaders Club kwenye Bonanza la Twanga limeanza kuwa gumzo Mtaani. Mashabiki wa Simba na Yanga wameendelea kutambiana huku kila kundi likidai kuwa litamkandamiza mwenzie.

Tamasha hilo limeandaliwa maalum ili kuzifanya familia na mashaiki wa Twanga pamoja  na wale wa Simba na Yanga kuwa Wamoja.

Ratiba ya Bonanza hilo hii hapa:

SUNDAY SOCCER BONANZA
LEADERS CLUB KINONDONI
BONANZA LA KUFUNGA MWAKA - THE SPECIAL TWANGA FAMILY DAY 2012 BONANZA

KUNDI A                                                      KUNDI B
1.      LEADERS FC                                           1. NAMANGA FC
2.      BRAKE POINT                                         2. MANGO GARDEN
3.      TASWA FC                                              3. SINGASINGA
4.      KIVUKONI                                               4. DALADALA CAMP

RATIBA ZA MICHEZO KUANZIA SAA 04:00 ASUBUHI HADI SAA 08:30 MCHANA
MUDA
KUNDI
TIMU
MATOKEO
04:00 – 04:30
KUNDI  A
LEADERS FC VS TASWA FC     

04:30 – 05:00
KUNDI  B
NAMANGA FC VS DALADALA CAMP              

05:00 – 05:30
KUNDI  A
BRAKE POINT VS KIVUKONI                           

05:30 – 06:00
KUNDI  B
MANGO GARDEN VS SINGASINGA                              

NUSU FAINALI
06:00 – 06:30
MSHINDI No. 1 A VS MSHINGI  No.2B

06:30 – 07:00
MSHINDI No.1B VS MSHINGI  No. 2A

FAINALI
07:00 – 07:30
MSHINDI KATI YA NO. 1A NA NO. 2B VS MSHINDI NO. 1B NA 2A

MECHI MAALUM ZA UHAMASISHAJI KATI YA MASHABIKI WA TIMU ZA ZINAZOONGOZA LIGI KUU TANZANIA BARA
07:30 – 08:00
AZAM FANS VS COASTAL UNION FANS

08:00 – 08:30
YANGA FANS VS SIMBA FANS

BURUDANI ZA BENDI MBALIMBALI
08:30 – 9:00
BONGO FLAVA
09:30 – 10:20
DOKII
10:20 – 10:40
HAJJI BSS
10:40 – 12:00
MSONDO NGOMA
12:00 – 01:00
TWANGA ACCADEMY
01:00 – 04:00
TWANGA PEPETA
1.       Michezo yote itakuwa ya mtoano na hakuna muda wa nyongeza.
2.      Timu zikienda sale sheria ya mikwaju ya adhabu (Penati) itatumika.
3.      Mchezaji akipewa kadi nyekundu hatoruhusiwa kuingia tena hadi mwisho wa michezo.
4.      Sheria zote 17 za soka zitatumika katika michezo hii
5.      Mshindi wa kwanza  kwenye Bonanza la awali atapata pea ya jezi na shilingi laki moja (100,000/=)
6.      Mshindi wa pili atapata mpira mmoja na shilingi elfu hamsini (50,000/=)
7.      Bonanza la Mashabiki wa timu zilizoko ligi kuu watapata hawatahusika na zawadi zilizotajwa hapo juu kwakuwa hizo ni mechi za kujenga UDUGU wa kishabiki.
________________________
MODDY PIZZARO
MRATIBU

No comments:

Post a Comment