BM BARBERSHOP KINONDONI

Wednesday, September 19, 2012

MSIMAMO WA LIGI UNAONYESHA YANGA NIYA PILI KUTOKA MKIANI


SIMBA SC
Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jana imeendelea katika viwanja SABA

MNYAMA MLEMAVU APENDEZA TAIFA
Mnyama Simba SC leo ameendelea kutakata Taifa japo kuwa katika kipindi cha kwanza wali maliza wakiwa pungufu baada ya Emmanuel Okwi kupewa kadi nyekundi. Alikuwa Amri Kiemba aliyeanza kuwanyanyua mashabiki wa Simba SC katika kipindi cha pili kabla ya Haruna Moshi 'Boban' kuhitimisha kwa goli la pili akiunga pasi ya Mrisho Ngassa. Kwa mara nyingine Simba SC wametoka uwanjani bila nyavu zao kuguswa.
RUVU JKT

AZAM FC
TOTO AFRICANS
KAGERA SUGAR
KANDA YA ZIWA YAWA NGUMU KWA AZAM FC
Kanda ya ziwa imekuwa ngumu kwa Azam FC kuondoka na point zote 6 baada ya msimu huu kama msimu uliopita wameondoka na point 4 baada ya kuifunga Kagera Sugar Goli moja na kutoka sare ya goli 2-2 na Toto Africa uwanja wa CCM Kirumba.  Toto walikuwa wa mwanzo kupata goli katika dakika ya 20 kupitia kwa Mussa Said na dakika 6 mbele Azam walisawazisha goli hilo kupitia kwa Abdulhalim Homoud. Azam walifunga goli la pili katika dakika ya 83 kupitia kwa Kipre Tchetche kabla ya Maganga kuisawazisha Toto Africa katika dakika ya 90 na kupelekea mchezo kumalizika kwa sare ya 2-2.

UKUTA WA BERLIN WABOMOLEWA JAMHURI.
Ukuta wa Berlin uliojengwa katika uwanja wa Taifa katika michuano ya Kagame leo umebomolewa katika uwanja wa Jamhuri Morogoro baada ya kupokea Kichapo cha goli 3-0 toka wakata miwa wa Manungu.  Yanga inayosifika kwa kujenga safu kali ya ulinzi walijikuta wanaruhusu goli katika dakika ya 11 kupitia kwa Dikson Daud kabla ya Hussein Javu kuipeleka Mtibwa Mapumziko wakiwa mbele kwa goli 2-0, kwa kuifungia Mtibwa goli la pili katika dakika ya 45. Ukuta huo wa Yanga ulikuwa mwepesi kwa Javu na mnamo dakika 77 aliifungia Mtibwa goli la 3 kabla ya Hamisi Kiiza kukosa penati na kupelekea Yanga kumaliza mchezo wa pili bila kuona nyavu za wapinzani wake na kukubali kichapo cha goli 3-0. 
YOUNG AFRICANS FC

MTIBWA SUGAR
COASTAL UNION
AFRICAN LYON
MATOKEO MENGINE
1.       Uwanja Wa Taifa Dar Es Salaam - Simba Sc 2-0 JKT Ruvu
2.       Uwanja Wa Jamhuri Morogoro - Mtibwa Sugar 3-0 Yanga
3.       Uwanja Wa Ccm Kirumba Mwanza - Azam Fc 2-2 Toto African
4.       Uwanja Wa Sokoine Mbeya - Prisons 1-1 Coastal Union
5.       Uwanja Wa Mabatini Kibaha - Ruvu Shooting 2-1 Mgambo Shooting
6.       Uwanja Wa Kaitaba Bukoba -Kagera Sugar 0-0 JKT Oljoro
7.       Uwanja Wa Chamazi Dar Es Salaam - African Lyon 1-0 Polisi Morogoro

RUVU SHOOTING STARS
Ligi hiyo ya Vodacom itaendelea tena mwishoni mwa wiki kwenye viwanja toafauti kama ifuatavyo:
MECHI ZA JUMAMOSI 22/09/2012 NI KAMA IFUATAVYO:
Yanga Vs JKT Ruvu – Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Azam FC Vs Mtibwa Sugar – Uwanja wa Chamazi Dar es Salaam
JKT Oljoro Vs Polisi - Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha
Coastal Union Vs Toto Africans – Uwanja wa Mkwakwani Tanga
MECHI ZA JUMAPILI  23/09/2012 NI KAMA IFUATAVYO:
Mgambo JKT Vs Kagera Sugar – Uwanja wa Mkwakwani Tanga
Simba Vs Ruvu Shooting Stars – Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
African Lyon Vs Tanzania Prison – Uwanja wa Chamazi Dar es Salaam

MSIMAMO WA LIGI HADI SASA 20/09/2012 HUU HAPA;
SN
Team
M
W
D
L
GF
GA
PT
1
2
2
0
0
5
0
6
2
2
1
1
0
3
0
4
3
2
1
1
0
3
2
4
4
2
1
1
0
2
1
4
5
2
1
0
1
3
3
3
6
2
1
0
1
2
3
3
7
2
1
0
1
1
3
3
8
2
0
2
0
3
3
2
9
2
0
2
0
1
1
2
10
2
0
2
0
1
1
2
11
2
0
1
1
0
1
1
12
2
0
1
1
0
1
1
13
2
0
1
1
0
3
1
14
2
0
0
2
1
3
0

1 comment:

  1. Yanga haiwezi kuwa mkiani, round ijayo fanyeni hima watani tunawangaojea tule sahani moja. Ndio raha.

    ReplyDelete