BM BARBERSHOP KINONDONI

Monday, October 1, 2012

MH. EDWARD LOWASSA ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI WA NAFASI YA UJUMBE WA HALMASHAURI KUU WILAYA YA MONDULI.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Ngoyai Lowassa ameibuka kidedea katika uchaguzi unaondelea sasa ndani ya Chama cha CCM kwa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa nafasi ya ujumbe wa halmashauri kuu ya Wilaya ya Monduli uliofanyika jana katika ukumbi wa chuo cha ualimu. Mheshimiwa Lowassa ameshinda kwa kishindo baada ya kuwabwaga wapinzani wake kwa idadi ya kura 709 akiwaachia wampinzani ambao mmoja alipata kura 44 na mwingine aliibuka na kura 7.

Mh Lowassa akizungumza na kuwashukuru wapiga kura wake waliompatia ushindi wa kishindo 



No comments:

Post a Comment