Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wakiwa katika mahafali
Mtihani
wa kuhitimu kidato cha nne unafanyika huku idadi ya wanafunzi
walioandikishwa kufanya mitihani hiyo Nchi nzima 481,414 wavulana
293202 54.67 wasichana 218212 45.33 idadi hiyo ikiwa ni ongezeko la
watahiniwa 31,090 sawa na asilimia 6.9 ikilinganishwa na watahiniwa
445,324 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2011
No comments:
Post a Comment