BM BARBERSHOP KINONDONI

Monday, April 8, 2013

MTOTO ALA KIPIGO NA KUNYWESHWA MKOJO NA MAMA YAKE MDOGO MJINI IRINGA

Mji wa Iringa ni miongoni mwa miji isiyoisha Vituko. kila uchao ni VITUKO, VIBWEKA na VIMBWANGA vya kila aina.  ZAWADi KARIM Binti mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa mshindo karibu na Benki ya NBC iliyoko Halmashauri ya Manisapaa ya Iringa amepigwa na mama yake mdogo na kulazimishwa kunywa Mkojo. Mama huyo Mkatili anaitwa Eva Ubamba.

Mkasa mzima uko hivi:  mtoto zawadi anaishi na mama yake mzazi wa kumzaa kabisa ambaye kwa kipindi cha tukio alikuwa naumwa. Mama mdogo KATILI Eva alikuwa nje na marafiki zake ndipo mama yake  mdogo huyo akamwiita ndani ya nyumba yao hiyo wanayoishi mtaa wa
mshindo mjini Iringa.
 
Baada ya kumuita zaidi ya mara tatu na motto kushindwa kuitikia kutokana na ama kutokusia au kiburi lakini baadaye aliitika na kuingia ndani na  ndipo alipo ambiwa avue nguo zote na huyo mama yake  mdogo.

Baada ya muda mfupi Zawadi alianza kupokea kipigo kikali kutoka kwa mama yake  mdogo. Katika kipigo hicho Zawadi  alipigwa pamoja na kunyweshwa mkojo kutoka kwa mama yake mdogo huyo. Zawadi ambaye ni mtoto wa kuzaliwa na Dada yake Eva inadaiwa kipigo hicho kimesababishwa na tuhuma kwamba eti familia hiyo haina mtoto kama yeye zawadi. Duuh hatareeeee

No comments:

Post a Comment