BM BARBERSHOP KINONDONI

Saturday, August 18, 2012

MAKALIO HAYA NI URITHI KUTOKA KWA MAMA YANGU … HAPA HAKUNA MCHINA !!!! AUNT LULU ALONGA

Mwanadada Aunt Lulu amenena kuwa Makalio yake yamezidi kuwa makubwa lakini nayapenda. Namnukuu “Makalio yangu nimeyarithi kutoka kwa mama yangu mzazi, japokuwa nikiwa mdogo nilikuwa mwembamba lakini nilivyokuwa mtu mzima ndiyo limekuja lenyewe hivi kama unavyoliona.” Japo ninapata usumbufu mkubwa sana, kila ninakopita wanaume wananiita na nimekuwa nikipata mialiko mingi sana kutoka kwa wanaume wa sehemu  mbalimbali ambao hata siwafahamu kabisa.”

Swali la KIZUSHI kwa Aunt Lulu … Je Unatamani Makalio haya Yapungue??? Majibu yake “Weeee……thubutu! Sitamani hata kidogo kupungua kwa sababu makalio yangu nayapenda sana, pia yananipa faraja kubwa yaani Mungu amenipendelea.”
Makali haya hupendeza kwenye Nguo fupi hahahahaah …..



No comments:

Post a Comment