BM BARBERSHOP KINONDONI

Wednesday, August 29, 2012

MAMA RWAKATARE AHAMIA KWENYE HEKALU LAKE MBEZI BEACH

Muonekano wa Mbele wa Hekalu na Mhe. Dr. Mch. Getrude P. Rwakatare 


MC, Mchungaji na Mtangazaji wa Clouds FM Haris Kapiga akiwa na Mhe. Dr. Mch. Getrude P. Rwakatare wakiwakaribisha waumini ndani ya Mjengo
MC, Mchungaji na Mtangazaji wa Clouds FM Harris Kapiga akiwa Kazini wakatai wa Uzinduzi wa Nyumba ya Mama Rwakatare
Watu wakijiachia kwa Kwaito wakati wa Ufunguzi
Misosi ya Kumwaga ilihusika pia
Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi  la kifahari mjengoni humo
Kabati la vyombo
Mambo ya dressing table
Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.
Kitanda anacholalia Mama Rwakatare  ndani ya Hekalu lake

1 comment:

  1. Hii ni kufuru kwa mtumishi wa mungu. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na alitufunza tajiri kwenda mbinguni nisawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano. Je mama wewe utaweza kupenya? Umeme wa magumashi tanesco umeshasettle au vipi? Halafu uko mita ngapi kutoka baharini, Mbona wewe hawakuvunjii? Kama hakuna shida, mungu akubariki mtumishi.

    ReplyDelete