Jioni
hii ya leo (20th Sept 2012) mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana
Matata ametweet kuwa atakuwa katika kipindi cha Dira ya Dunia kinachorushwa na
chombo kikubwa cha habari duniani cha BBC. Amewaomba watu wasikose kutazama
usiku wa leo. Matangazo ya BBC Dira ya Dunia kupitia TV yalizinduliwa rasmi
tarehe 27 August 2012, na kwa hapa Tanzania huonekana kupitia Star TV mida ya
saa 3 usiku, wakati kule Kenya huonekana kupitia QTV.
No comments:
Post a Comment