Baadhi ya Askari wa kutuliza fujo wakiwa Mahakama kuu Zanzibar Vuga kwa lengo la kutuliza amani Mahakamani hapo.. Picha na MakameMshenga-Maelezo Zanzibar |
Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya UAMSHO wakiwa wanatoka katika Mahakama Kuu ya Zanzibar Vuga baada ya kufunguliwa mashtaka manne mapya..Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar |
Hao uamsho lazima watambue kama zanzibar kuna utawala wa sheria. Wanachotaka kufanya uamsho hakina tofauti na kile kichofanywa na al Shabaab Somalia. Kutia hisia kali za kidini kwa wafuasi wao ili watwae dola bila idhini ya wananchi. Wazanzibari wasipokua macho watarejeshwa 1963 kwenye sultani wa kiarabu. Nadhani sicho wanachokitaka wazanzibari walio wengi.
ReplyDelete