BM BARBERSHOP KINONDONI

Thursday, August 30, 2012

HAWA NGULUME HATUNAYE TENA

Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngulume amefariki dunia jana asubuhi katika hospitali ya Jeshi LUGALO jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment