BM BARBERSHOP KINONDONI

Sunday, September 16, 2012

MWENYEKITI WA KIJIJI AMPIGA MARUFUKU KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 28 KWA HOFU YA KUWA NA UHUSIANO WA KIMAPENZI

Mwenyekiti wa kijiji cha Dilifu Pichani kata ya Itenka wilayani mlele mkoa wa katavi Elineo Mbaruku akitoa maelezo kwa mwandishi wa habari hizi kuhusiana na maamuzi ya uongozi wa kijiji hicho cha Dilifu kutoa uamuzi wa kumtenganisha kijana mmoja aliyejulikana kwa la Kwimba (28) kulala chumba kimoja na mama yake mzazi. uamuzi huo wa serikali ya kijiji umefuatia tuhuma za mama na mwanae kuwa na mahusiano ya kimapenzi mwenyekiti huyo wa kijiji alisema tayari kwimba ametii agizo hilo na amekwisha hama kwenye nyumba hiyo na amepanga chumba kijijini hapo

No comments:

Post a Comment