BM BARBERSHOP KINONDONI

Sunday, August 19, 2012

JAKAYA NA MAMA SALMA WASHIRIKI SWALA YA IDDI MSIKITI WA ELFAROUK KINONDONI MUSLIM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mstahiki Meya Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa El-faroul Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini kusikiliza mawaidha kutoka kwa Sheikh Abubakar Zubeir katika  msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam baada ya  ya Swala ya Idd
Mama Salma Kikwete akipeana mkono wa Iddi na kinamama waliohudhuria Swala ya Iddi leo  katika msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment