MPAMBANO
wa ndondi baina ya mabondia Maneno Oswald (Mtambo wa Gongo) na Rashid Matumla (Snake Man) uliofanyika jana kwenye Ukumbi wa maraha Dar Live Mbagala, jijini Dar es Salaam, katika kuadhimisha
sikukuu ya Idd el Fitr, ulishuhudia Oswald akimchakaza Matumla kwa point. (Kwa Hisani ya Massa Mateja
No comments:
Post a Comment