BM BARBERSHOP KINONDONI

Saturday, August 18, 2012

MWEZI WAONEKANA PEMBA NA TANGA

Mwezi umeonekana Visiwa vya Pemba pamoja na Tanga... Kesho Waislamu wanaadhimisha Sikukuu ya Eid Baada ya kukamilisha Funga (FARADH) kufutia imani yao. mwanatanga inawatakie Eid Njema !!!!!!

EID MUBARAK

No comments:

Post a Comment