HUYU NI IRON LADY KIDA WAZIRI WA MIAKA YA 1990
Kida
Waziri au kama alivyokuwa akiitwa enzi zake Vijana Jazz Stone Lady
amerudi na album yake yenye nyimbo 6 ikiwa na nyimbo kama Wifi zangu,
Shingo Feni, Penzi haligawanyiki na nyinginezo, pia ameimba wimbo wa
Mary Maria akishirikiana na mwanae Waziri, ambae kajitahidi kuimba zile
sehemu za uimbaji wa marehemu babake.
KIDA WAZIRI WA DUNIA YA LEO YA UTANDAWAZI 2012
Kida Waziri, nilikua nakuona enzi zako na maneti unavyomiliki jukwa kwa uimbaji murua na sauti ya kupendeza. Jitahidi mama bila shaka utapata support yetu kwani ulikua mahiri sana....Nadhani hili unalitambua.
ReplyDelete