BM BARBERSHOP KINONDONI

Saturday, August 11, 2012

RAGE AMWAGA MANYANGA TFF KWA AJILI YA TWITE

Rage aitia huruma kwenye tv leo-sijaamini kama niliyemuona kwenye tbc ni yule mwanasheria wa kisomali el-shabab kunywea kiasi kile. Wanasheria wa kikwere wamdhihirishia kuwa wao niwatu wa mipango na wao sheria wanaijua. Wewe ni nani mbuyi twite asikanyage kaunda??? Kujiuzulu kwako kwenye ujumbe pale tff si tija.... Jipange na waeleze wana simba pesa umepeleka wapi. Apr wamekuletea pesa yako umekataa unataka nini???? Jiuzulu na ubunge basi kama una jeuri.

No comments:

Post a Comment