MAGWIJI WA BURUDANI YA MUZIKI WA DANSI TWANGA PEPETA SUGU WAZEE WA SHAMBA LA TWANGWA WAMETOA RATIBA YA IDDI KAMA IFUATAVYO:
Sikukuu ya EID inayotarajiwa kusherehekewa kati ya siku ya Jumapili au Jumatatu inayokuja itakuwa kama ifuatavyo:
EID MOSI MCHANA :MANGO GARDEN KINONDONI.
EID MOSI USIKU: MANGO GARDEN KINONDONI.
EID TATU USIKU KAMA IKIANGUKIA SIKU YA JUMANNE: KOYANGA NIGHT CLUB
JUMATANO : CLUB BILLICANAS
ALHAMISI: NEW CLUB MAISHA.
JUMAMOSI: MANGO GARDEN KINONDONI
JUMAPILI MCHANA KUANZIA SAA NANE LEADERS CLUB
Muambie yule na wale Mzigo umeshapakuliwa Nyimbo tatu mpya kutambulishwa kudhihirisha kuwa Wao niwafalme wa BURUDANI na WAKANDARASI
No comments:
Post a Comment