Tetesi zimedokeza kuwa Mshambuliaji aliyekuwa anacheza mpira Vietnam Danny Mrwanda na Kanu Mbiyavangu wametupia Virago na timu ya Simba ili kuwapisha Beki Ochien'g kutoka Kenya na Mshambuliaji hatari kutoka Ivory Coast. Habari kamili zitapatikana punde.
No comments:
Post a Comment