BM BARBERSHOP KINONDONI

Wednesday, August 15, 2012

STARS NA BOTSWANA 3-3

MCHEZO wa TAIFA STARS umemalizika kwa sare ya magoli 3-3 kati yake na Botswana , Wafungaji wa magoli ya  TAIFA STARS yamefungwa na Erasto Nyoni,Mwinyi Kazimoto na Mrisho Ngassa.

No comments:

Post a Comment