|
Presdaa Torres akiwa na Super K |
Mcheza Shoo wa Bendi ya Mashujaa Musica (Super K) leo atakuwa Live kwenye Television ya Channel 5 kwa ajili ya mahojiano. Akiongea na Mwanatanga Meneja wa Mashujaa Martin Sospeter amesema kuwa Mcheza Shoo huyo atafanya mahojiano kuzungumzia Ujio wake ndani ya Mashujaa baada ya kurejea kutoka Umangani na Kuikacha Bendi yake ya Twanga Pepeta. Siya kukosa hii kitu Stay Tune na umsikilize SUPER K SINGASINGA
No comments:
Post a Comment