BM BARBERSHOP KINONDONI

Friday, August 24, 2012

TANZIA - MWENYEKITI WA ASET BARAKA MSIILWA AFIWA NA MAMA MKWE WAKE UJIJI KIGOMA LEO

Mwenyekiti wa ASET Baraka Msiilwa anawatangazia Wadau wa Twanga Pepeta kuwa Muda mchache uliopita amempoteza mama Mkwe wake Bibi Salima Hussein Juma Luhezi huko Ujiji Kigoma Mazishi yanatarajiwa kufanyika Kesho Ujiji Kigoma

No comments:

Post a Comment