MWENYEKITI - INNOCENT MWINGIRA |
Wapenzi na Washabiki wa Yanga wanarajia kukutana 09/09/2012
Jumapili kujipanga kwa ajili ya kuihamasisha timu yao wakati wa ligi kuu
inayotarajiwa kufanyika hivi punde. Wapenzi hao wanakadiriwa kufikia 175.
Akiongea na mwanatanga Kiongozi wa Kundi hilo Bwana Innocent
Mwingira amewaomba wadau wote kujiandaa kwa ajili ya kikao hicho na taarifa
zaidi zitatolewa ndani ya Kundi kuhusu mahali pa kukutaniana.
Kila la Kheri wana yanga
No comments:
Post a Comment