Wanafunzi wote ambao walisoma Shule
ya Sekondari Irambo iliyoko Mkoa Wa Mbeya Wilaya ya Mbeya Vijijini watakutana
tena (Kwa mara ya Pili) Baada ya kukutana takribani mwezi Mmoja na nusu
ulioyopita katika Ukumbi wa Makumbushulioko Kijitonyama Dar Es salaam.
Mkutano huu ni fursa kwa wana Irambo kukumbushana yaliyopita na hatimaye kukaa pamoja na kukubaliana jinsi ya kuendesha mambo yao kwa faida yao wenyewe. Mkutano huu utafanyika 01/09/2012 Mkumbusho Kijitonyama kuanzia Saa Tisa Kamili Jioni.

TAFADHALI MTAARIFU MWANA IRAMBO MWINGINE......
Tangazo hili limetolewa na:
Stanislaus
C. Mmbando (Mwakijengele)
MWENYEKITI WA MUDA
WANA IRAMBO SECONDARY SCHOOL
MWENYEKITI WA MUDA
WANA IRAMBO SECONDARY SCHOOL
IRAMBO OYEEEEE
ReplyDelete