BM BARBERSHOP KINONDONI

Wednesday, August 29, 2012

TICKET KWA AJILI YA ONYESHO LA MAALUM LA MWANAMUZIKI KALALA JUNIOR KUREJEA TWANGA ZIKO MTAANI PATA TICKET YAKO MAPEMA KUEPUSHA USUMBUFU


AFRICAN SATARS BAND NA FLAVANITE wanakuletea show ya "NYUMBANI NI NYUMBANI" yaani utambulisho rasmi wa KALALA Jr akirejea NYUMBANI Twanga Pepeta Sugu. Onyesho hilo litakuwa siku ya Ijumaa hii 31/08/2012, MZALENDO PUB kwa kiingilio cha shs 10,000/=. Katika kuonyesha kuwa onyesho hilo ni mahsusi na kuhakikisha linakuwa la mafanikio kuudhihirishia ulimwengu kuwa WANAKUJA KIVINGINE KABISA tayari ticket zimeshaanza kuuzwa.
Ticket za Onyesho hilo zinapatikana:
1. Ofisi za ASET Kinondoni
2. Kwa Mkurugenzi wa ASET Mama Asha Baraka - 0713 606564
3. Mkurugenzi Muendeshaji - Omary Baraka - 0656 121212
4. Meneja Masoko wa ASET - Amigolas - 0713 377779
5. Kiongozi wa Bendi - Luiza Mbuttu - 0713 731993
6. BM Burbershop Kinondoni - Kakamie Sekwao - 0712 641564
7. Mwanamuziki Gyson Semsekwa - 0653 151725
8. Mwanamuziki Muumini Mwinjuma - 0713 315500 
9. Meneja Masoko wa ASET - Muddy K Mwana Usher Family - 0713 722933
10. Meneja Utawala ASET - Hassan Lehani - 0713 578257
Pata Ticket yako Mapema ili uje kushuhudia na kujiridhisha kuwa Kwanini Twanga ni Kisima cha Burudani.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA 
ASHA BARAKA
MKURUGENZI WA ASET
 

1 comment:

  1. Jenerali Ulimwengu kasema kweli, tunaizairesha nchi yetu. Mambo ya 'kipuuzi' yanapewa hadhi ya ajabu. Starehe, muziki, ulimbwende,ngono, rushwa, utadhani ndio kioo cha jamii. Wakongo wameshindwa kuacha kuwa zaire ya mobutu hadi leo. Jeshi lao kila leo linalizwa na watoto wa mtaani wa Kinyarwanda, wamebaki ulevi magendo na kubaka.

    ReplyDelete