Naibu waziri wa Afrika Mashariki Mbunge wa Rahaleo Abdalla
Juma Abdalla, akizungumza na mwandishi wa Shirika la Habari la Zazibar (ZBC)
Msangu Saidi mijini Kibaha leo asubuhi kabla hajaondoka kwenda nchini Kigali
kuhudhuria mkutano wa wanahabari wa Afrika mashariki, ambapo alieleza kuwa afya
yake pamoja na za jamaa wengine waliokuwemo kwenye ajali hiyo zipo imara
isipokua Dereva ndio anaendelea na matibabu.
|
No comments:
Post a Comment