BM BARBERSHOP KINONDONI

Monday, August 20, 2012

YANGA YAPIGA FOUR OCKLOCK TAIFA LEO

Kutoka Kushoto walioinama. Haruna Niyonzima, Shadrack Nsajigwa (babu), Kelvin Yondani (Vidic), Saimon Msuva na George Luhende. Waliosimama Kutoka kushoto ni Dider Kavumbangu, Haroub Canavaro, Athumani Iddi Chuji (Baba Mwenye Nyumba)Oscar Joshuana Yaw Berko.
Vidume katika mchezo wa leo ni Kiiza Goli la Kwanza baada ya mabeki wa Lyon kujichanganya. Niyonzima Goli la Pili kwa Penalt baada ya Msuva kufanyiwa madhambi na Sammy Kessy wa Lyon. Goli la tatu Msuva alitupia mwenyewe na Tegete kumalizia goli la nne.


LUHENDE AKICHANJA MBUGA
KIIZA BAADA YA KUTUPIA
KONA
KONA
LUHENDE KIBARUANI
LUHENDE KAMTOKA MTU
NIYONZIMA AKIKAMUA
NIYONZIMA KAFANYIWA FAULU
MAUMIVU
MSUVA ALIKWAKUTULIWA NA SAMMY KESSY IKAWA PENALTI ILIYOZAA BAO LA NIYONZIMA
MSUVA AKILALAMA BAADA YA KUKWATULIWA
SAIMON MSUVA
MSUVA AKIPONGEZWA BAADA YA KUTUPIA

No comments:

Post a Comment