DIDIER KAVUMBANGU |
BLOG YA MDAU MKUBWA WA MICHEZO MAHMOUD ZUBERY ALMAARUF www.bongostaz.blogspot IMERIPOTI PUNDE KUWA Beki wa kimataifa mwenye uraia wa
Rwanda mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mbuyu Twite hatacheza
mechi ya leo kwa sababu ameshindwa kuwasili nchini. HBin Zubery ameripoti kuwa Yanga wamesema
kwamba tayari Twite amekwishazungumza na kocha Mkuu wa klabu, Mbelgiji Tom
Saintfiet kumjulisha juu ya hilo. Kwa sasa, Mbuyu yupo nyumbani kwao kwa asili,
DRC kwa mapumziko mafupi kabla ya kuja kuanza maisha mapya Jangwani.
Mashabiki wa Yanga watamshuhudia kwa
mara ya kwanza, mshambuliaji Didier Kavumbangu waliyemsajili kutoka Atletico
Olimpique ya Burundi akiichezea timu yao.
No comments:
Post a Comment