BEKI mgeni wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, Mbuyu Twite
yuko katika mtego akiwindwa na baadhi ya makahaba wa Kinondoni, jijini Dar Es
Salaam. Baadhi ya makahaba wa Kinondoni
wametanabahisha kuwa wamesikia Twite amelipwa vizuri ili kujiunga na Yanga,
hivyo wao wanamsaka kwa udi na uvumba ili wazile pesa zake.
“Tunazo habari kwamba, Yanga wamemlipa Twite Dola 50,000 (kama Milioni 60), kwa hiyo kila siku tunamzengea ili tumpate tuzile wote, tunajua tutampata tu,” alisema Rose Mathias aliyeanza kufanya ukahaba mwaka 2006.
Twite ambaye alianza kuichezea Yanga kwenye mchezo kati yake na Coastal Union ya Tanga emekuwa ‘akiapia’ kwenye vyombo vya habari kufuatia mgogoro na Klabu ya Simba ambapo inasemekana pia alikubaliana nao kutua Msimbazi akiwa ameshashikishwa Dola…

Habari hizi ni kwa hisani ya Global Publishers
No comments:
Post a Comment