BM BARBERSHOP KINONDONI

Tuesday, September 4, 2012

MSAFARA WA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA TUKUYU KWA MAZISHI YA MWANGOSI

Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya wakiwa wanajiweka sawa tayari kwa  Safari  ya kuelekea Tukuyu kwa ajili ya Mazishi
Safari ikiwa imeanza kuelekea Tukuyu

Safari inaendelea

Hapa safari inaendelea kama kawaida
 Hakuna Mwandishi wa habari hata mmoja aliye na Furaha wengi wanaonekana wakiwa na uchungu, juu ya kifo cha Mwandishi mwenzao.
 
 Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu, wa kwanza kushoto ndugu Joseph Mwaisango  ndani ya Basi kuelekea katika Msiba na Mazishi muda huu


No comments:

Post a Comment