HUU NI MTAZAMO WANGU:
KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI WA CHANNEL TEN LIWE NI FUNDISHO KWA WAANDISHI NA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA KWA UJUMLA.
NA HAMUPASWI KULALAMIKA KWA KILICHOTOKEA BALI MUJIPONGEZE KUWA SASA
MNAANZA KUVUNA KILE MLICHOPANDA NA KUPALILIA KWA MIAKA MINGI HAPA
TANZANIA.
Sina maana kwamba nimefurahi kwa kile kilichotokea
kule Nyololo Mufindi kufuatia kifo cha Mwandishi wa Habari na Mwakilishi
kituo cha Channel 10, ndugu Mwangosi la! Hata mimi nimesikitishwa na
kuhuzunishwa sana kwa hiki kilichotokea.
Lakini naomba niseme
kwamba, kwa muda mrefu baadhi ya wananchi wa Tanzania wamekuwa
wakililalamikiajeshi la Polisi kwa vitndo vyake vya mauaji na uonevu
mbalimbali kwa raia. Lakini cha kusikitisha na kushangaza utakuta vyombo
hivihivi vya habari ambavyo ndivyo tunavitegemea katika kutupasha
habari ndivyo vinakuwa mstari wa mbele katika kulitetea jeshi la polisi
na kueneza propaganda mbalimbali dhidi ya raia.
HEBU KUMBUKENI KWA HII MIFANO MICHACHE:-
1. MAUAJI YA WAISLAMU MWEMBECHAI 1998. Bilashaka wale waliopigwa,
kuteswa na kuuawa waliitwa ni wahuni na vyombo vya habari vilikuwa
mstari wa mbele katika kulitangaza hili.
2. KUPIGWA, KUTESWA NA
KUUAWA KWA BAADHI YA WAFUASI WA CHAMA CHA CUF KUFUATIA MAANDAMANO YA
JANUARI 2001 KULE ZANZIBAR. Je, vyombo vyetu vya habari viliripoti vipi
taarifa hizi?
3. KUKAMATWA KWA MHADHIRI (HAMISI DIBAGULA) ETI
KWA SABABU AMEITUKANA DINI NYINGINE KWA KUSEMA YESU SI MUNGU. NA
WAISLAMU WALIPOAMUA KUANDAMANA KUPINGA HATUA HII, JESHI LA POLISI
LILIINGILIA KATI NA WAISLAMU WENGI KUPIGWA NA KUTESWA. Vyombo vyetu vya
habari vilinyamaza kimyaaaaa na kushangilia kile ambacho polisi
wamefanya.
HUENDA HAYO MTAKUWA MMEYASAHAU, NAOMBA NIWAKUMBUSHE AMBAYO YAMETOKEA HIVI KARIBUNI:-
4. KULE MKOANI MOROGORO PINDI WAISLAMU WALIPOANDAMANA KUPINGA
KUSIMAMISHWA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIISLAMU KATIKA SHULE YA NDANDA.
Je, polisi walifanya nini kama si kuwapiga na kuwaonea waislamu wale
walioandamana? Je, vyombo vya habari viliripoti vipi jambo hili kama si
ushabiki na kueneza propaganda dhidi ya waislamu wale?
5. HEBU
ANGALIENI YANAYOWAKUTA NDUGU ZETU HUKO ZANZIBAR KUTOKA JESHI LA POLISI
KWA KISINGIZIO NI KIKUNDI CHA UAMSHO NA HIVI JUZI IKAWA SENSA. Hebu
tazameni vyombo vya habari jinsi vinavyoripoti taarifa hizi kama si
kuwaponda Waislamu na kulifagilia jeshi la polisi. Ilifikia hatua mpk
gazeti fulani kubandika picha ya maandamano ya Morogoro kwa mgogoro wa
Zanzibar ili kuendeleza chuki na Propaganda dhidi ya Uislamu na
Waislamu.
6. BILASHAKA MNAKUMBUKA KILICHOTOKEA KWA NDUGU ZETU
WA TANDAHIMBA-MTWARA, POLISI WALIPIGA RAIA, NA INASEMEKANA WALICHOMA
MOTO SOKO, MADUKA YA RAIA, LAKINI CHA KUSIKITISHA ZAIDI HATA ILE OFISI
YA OCD ILICHOMWA MOTO NA POLISI ILI KUPATA SABABU YA KUENDELEZA KIPIGO
KWA RAIA. Lakini cha kusikitisha vyombo vya habari vilijua vyenyewe
namna vilivyoripoti taarifa hizi, lakini zaidi ni kulitetea jeshi la
polisi kwa kile kilichofanya.
7. JE, KUNA MAMBO MANGAPI MAZURI
YA WAISLAMU VYOMBO VYA HABARI VINAAMUA KUYAKALIA NA YALE YA PROPAGANDA
NDIYO YANAYOPEWA KIPAUMBELE.
Kwa hayo machache naomba niseme
tena kwamba vyombo vya habari mtambue kuwa "SIMBA AKIKOSA NYAMA, HATA
NYASI HULA", "UKIMUONA MWENZIO ANANYOLEWA ZAKO TIA MAJI"
Au mlisahau kuwa hata mbwa wa kumfuga mwenyewe anaweza kukujeruhi?
AU MLIDHANI KWAMBA MKIPANDA MWAROBAINI MTAVUNA TENDE???
Kimsingi, nina mengi ya kusema lakini naomba niishie hapa. ila niseme
kwamba "KILICHOTOKEA NI MATUNDA YA DHULMA ILIYOPANDWA NA JESHI LA POLISI
NA KUPALILIWA NA NINYI VYOMBO VYA HABARI TANGU MIAKA MINGI HAPA
TANZANIA HUSUSANI KWA WAISLAMU WA TANZANIA".
By Mzee Habajana
KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI WA CHANNEL TEN LIWE NI FUNDISHO KWA WAANDISHI NA VYOMBO VYA HABARI VYA TANZANIA KWA UJUMLA.
NA HAMUPASWI KULALAMIKA KWA KILICHOTOKEA BALI MUJIPONGEZE KUWA SASA MNAANZA KUVUNA KILE MLICHOPANDA NA KUPALILIA KWA MIAKA MINGI HAPA TANZANIA.
Sina maana kwamba nimefurahi kwa kile kilichotokea kule Nyololo Mufindi kufuatia kifo cha Mwandishi wa Habari na Mwakilishi kituo cha Channel 10, ndugu Mwangosi la! Hata mimi nimesikitishwa na kuhuzunishwa sana kwa hiki kilichotokea.
Lakini naomba niseme kwamba, kwa muda mrefu baadhi ya wananchi wa Tanzania wamekuwa wakililalamikiajeshi la Polisi kwa vitndo vyake vya mauaji na uonevu mbalimbali kwa raia. Lakini cha kusikitisha na kushangaza utakuta vyombo hivihivi vya habari ambavyo ndivyo tunavitegemea katika kutupasha habari ndivyo vinakuwa mstari wa mbele katika kulitetea jeshi la polisi na kueneza propaganda mbalimbali dhidi ya raia.
HEBU KUMBUKENI KWA HII MIFANO MICHACHE:-
1. MAUAJI YA WAISLAMU MWEMBECHAI 1998. Bilashaka wale waliopigwa, kuteswa na kuuawa waliitwa ni wahuni na vyombo vya habari vilikuwa mstari wa mbele katika kulitangaza hili.
2. KUPIGWA, KUTESWA NA KUUAWA KWA BAADHI YA WAFUASI WA CHAMA CHA CUF KUFUATIA MAANDAMANO YA JANUARI 2001 KULE ZANZIBAR. Je, vyombo vyetu vya habari viliripoti vipi taarifa hizi?
3. KUKAMATWA KWA MHADHIRI (HAMISI DIBAGULA) ETI KWA SABABU AMEITUKANA DINI NYINGINE KWA KUSEMA YESU SI MUNGU. NA WAISLAMU WALIPOAMUA KUANDAMANA KUPINGA HATUA HII, JESHI LA POLISI LILIINGILIA KATI NA WAISLAMU WENGI KUPIGWA NA KUTESWA. Vyombo vyetu vya habari vilinyamaza kimyaaaaa na kushangilia kile ambacho polisi wamefanya.
HUENDA HAYO MTAKUWA MMEYASAHAU, NAOMBA NIWAKUMBUSHE AMBAYO YAMETOKEA HIVI KARIBUNI:-
4. KULE MKOANI MOROGORO PINDI WAISLAMU WALIPOANDAMANA KUPINGA KUSIMAMISHWA MASOMO KWA WANAFUNZI WA KIISLAMU KATIKA SHULE YA NDANDA. Je, polisi walifanya nini kama si kuwapiga na kuwaonea waislamu wale walioandamana? Je, vyombo vya habari viliripoti vipi jambo hili kama si ushabiki na kueneza propaganda dhidi ya waislamu wale?
5. HEBU ANGALIENI YANAYOWAKUTA NDUGU ZETU HUKO ZANZIBAR KUTOKA JESHI LA POLISI KWA KISINGIZIO NI KIKUNDI CHA UAMSHO NA HIVI JUZI IKAWA SENSA. Hebu tazameni vyombo vya habari jinsi vinavyoripoti taarifa hizi kama si kuwaponda Waislamu na kulifagilia jeshi la polisi. Ilifikia hatua mpk gazeti fulani kubandika picha ya maandamano ya Morogoro kwa mgogoro wa Zanzibar ili kuendeleza chuki na Propaganda dhidi ya Uislamu na Waislamu.
6. BILASHAKA MNAKUMBUKA KILICHOTOKEA KWA NDUGU ZETU WA TANDAHIMBA-MTWARA, POLISI WALIPIGA RAIA, NA INASEMEKANA WALICHOMA MOTO SOKO, MADUKA YA RAIA, LAKINI CHA KUSIKITISHA ZAIDI HATA ILE OFISI YA OCD ILICHOMWA MOTO NA POLISI ILI KUPATA SABABU YA KUENDELEZA KIPIGO KWA RAIA. Lakini cha kusikitisha vyombo vya habari vilijua vyenyewe namna vilivyoripoti taarifa hizi, lakini zaidi ni kulitetea jeshi la polisi kwa kile kilichofanya.
7. JE, KUNA MAMBO MANGAPI MAZURI YA WAISLAMU VYOMBO VYA HABARI VINAAMUA KUYAKALIA NA YALE YA PROPAGANDA NDIYO YANAYOPEWA KIPAUMBELE.
Kwa hayo machache naomba niseme tena kwamba vyombo vya habari mtambue kuwa "SIMBA AKIKOSA NYAMA, HATA NYASI HULA", "UKIMUONA MWENZIO ANANYOLEWA ZAKO TIA MAJI"
Au mlisahau kuwa hata mbwa wa kumfuga mwenyewe anaweza kukujeruhi?
AU MLIDHANI KWAMBA MKIPANDA MWAROBAINI MTAVUNA TENDE???
Kimsingi, nina mengi ya kusema lakini naomba niishie hapa. ila niseme kwamba "KILICHOTOKEA NI MATUNDA YA DHULMA ILIYOPANDWA NA JESHI LA POLISI NA KUPALILIWA NA NINYI VYOMBO VYA HABARI TANGU MIAKA MINGI HAPA TANZANIA HUSUSANI KWA WAISLAMU WA TANZANIA".
By Mzee Habajana
No comments:
Post a Comment