 |
LULU KILUVIA AND REHEMA KILUVIA "THE GREAT KILUVIA" |
 |
KUPAZA SACCOS NA KALALA JUNIOR |
 |
KAMATA MPUNGA BABA |
 |
LULU KILUVIA AND REHEMA KILUVIA "THE GREAT KILUVIA" |
Hakuna asiyefahamu kuwa Familia ya Kiluvia ni wadau wakubwa kwenye Tasnia ya Muziki kwa miongo mingi sasa. Jina la Kiluvia si jina geni kwenye ulingo huu wa MIZIKI hapa Bongo. Wadada wawili ambao ni vigumu kuwakosa kwenye Albam za nyimbo nyingi za Band tofauti tofauti Lulu Kiluvia na Rehema Kiluvia wameandaa Show Maalum ya kutoa shukurani kwa Wadau wa Miziki TEGETA Dar es Salaam. Usikose wewe Mtu.
Familia ya kizazi cha muziki "THE
GREAT KILUVIA'S" inakuletea THE NIGHTY OF KILUVIA’S IN TEGETA. Show hii ni
maalum kabisa chini ya udhamini Kampuni ya "AMON'S COLLECTION" burudani
itatolewa na The African Stras Twanga Pepeta Ijumaa hii 07/09/2012 Ukumbi wa BM
Complex NDANI YA TEGETA.
Onyesho hili ni maalum kabisa kwa
wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vya jirani kuanzia Kivukoni hadi
Mabwepande, Kongowe hadi Kiluvya na maeneo yoote ndani ya Jiji hili. Tumezoe
kula Ubwabwa wa Mafuta kila siku sasa twende tukale Ubwabwa wa Nazi pamoja
pembeni ya Bahari ya Hindi ndani ya BM COMPLEX pale TEGETA hakuna kukosa hii
mambo badilisha upepo achana na hewa chafu za katikati ya Mji kila siku. Achana
na kucheza Muziki kwenye Parking za Magari utaathirika na Oil na Pollution
nyingine nyingi za Chemically Twende TEGETA bwana.
Kiluvia’s wameahidi kuwepo kwa Tukio
la kushitukiza ambalo litawashangaza wengi njoo uone….
No comments:
Post a Comment