BM BARBERSHOP KINONDONI

Monday, September 3, 2012

MPIGIE KURA MTOTO NADIA KHALFANI KITANZANIA ANAYEGOMBEA TUZO YA ZAFAA UINGEREZA



Nadia Khalfani ni motto wa Kitanzania anayeishi Uingereza na wazazi wake. Binti huyu ambaye kwanza ni mrembo kwa sura. Mtoto huyu alicheza Filamu ya THE PAST CAME CALLING (UK) AS A NEIGHBOUR akiwa na Omotola. Hivi unajisikiaje wewe Mtanzania unapoona Rangi nyeusi ikifanya miujiza ndani ya Ulaya??? Hili linawezekana kwa kumuwezesha Binti huyu kushinda TUZO hii Mahususi ya ZULU AFRICAN FILM ACADEMY AWARDS (ZAFAA).

WASIFU WA MTOTO NADIA KHALFANI
Binti huyu anaurefu wa Sentimita 149 au Futi Nne, Macho yake niya Brown yanayomeremeta kwa uzuri wa ajabu, Uzito wake ni Chini ya Kilo arobaini, Rangi yake ya Nywele niya Kitanzania yaani Rangi adimu Nyeusi, Uhalisia wake ni Mtanzania KINDAKINDAKI, Urefu wa Nywele zake niwakati unaomfanya mtu yoyote kuupenda, Rangi ya Ngozi yake ni Brown ya asili kabisa, Stail ya Nyewele zake nizimejinyoosha vyema misiri ya mnyama Mbigili 

SHINDANO LA ZULU AFRICAN FILM ACADEMY, ZAFAA
Binti wa Kitanzania anashiriki TUZO hili akiwa nagombea pamoja na watoto wengine wa kike wa nchi za Afrika ya Magharibi ambako kunasadikika kuwa na ushindani mkubwa sana. Kura yako ndiyo pekee itakayomfanya Binti huyu wa Kitanzania kucghukua TUZO hiyo na kuiletea sifa Nchi yetu kwenye Tasnia hii inayokuwa.

Nitashangaa sana kama Wacheza Filamu NGULU kama vile Cloud, JB, Autn Ezekiel, Dr Cheni, Muhogo Mchungu, Mwakifamba, Dude, Ray Kigosi, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Irene Uwoya, Jacqueline Walper,  Barafu, Rose Ndauka, Patcho Mwamba na wengine wengi wasipopiga kura zao kwa Binti huyu ambaye ataweza kuiuza Tanzania kwenye TASNIA ya FILAMU DUNIANI.
Wapendwa marafiki na Watanzania kwa Ujumla tumpigie KURA Binti yetu Nadia kama Ifuatavyo ili ashinde Tuzo hii ya ZAFAA

Nenda kwenye http://zafaa.com/ Click on halafu bonyeza BEST CHILD PERFOMANCE FEMALE chagua NADIA KHALFAN, THE PAST CAME CALLING (UK) kisha SUBMIT VOTE. Unaweza kufanya hivyo mara nyingi zaidi na zaidi haijalishi.

Kwa Wale wanaojua Kizungu fuata maelekezo haya:
Dear Family, Friends, and Members of Public, my young sister Nadia has been Nominated on ZAFAA - African Film Festival & Academy Awards
Please Go to http://zafaa.com/ and click on VOTE NOW, then Go to
(BEST CHILD PERFOMANCE FEMALE) and Click on NADIA KHALFAN, THE PAST CAME CALLING (UK)
http://www.zafaa.com/
Thank you for your support

PICHA TOFAUTI ZA MTOTO NADIA KHALFANI



 

No comments:

Post a Comment