Baada ya Kutosikika kwa Muda Mrefu ... Hatimaye mwana mama NGULI almaarufu MAMA IFFE amewaandalia Wadau wake Onyesho Maalum la Kukata na Shoka Ndani ya LEJO Village Kimara Mwisho akiwa na Jahazi Modern Taarab chini ya Mfalme Yusuph ... Mimi na Mamaa Jaquiline Deo Mutta My wife tutakuwepo ndani ya Ukumbi kuwakilisha... Usikose hii Mambo.....
No comments:
Post a Comment