BM BARBERSHOP KINONDONI

Thursday, November 1, 2012

WANADARISALAAM WAFURAHIA USAFIRI WA TRENI HUSUSAN WANAFUNZI

Add caption

Bi. Rose Ngauga Mkuu wa Kituo Cha Reli akiwa kazini
Bi. Rose akipokea taarifa ya abiria kabla ya safari kuanza.
Mkuu wa Kituo cha Reli, Bi. Rose Ngauga akikagua mabehewa kabla ya gari moshi kuanza safari leo saa 9.40 alasiri.
Abiria wakiwa katika dirisha la kukatia tiketi.
Wanafunzi wakikata tiketi katika dirisha maalumu kwa ajili yao.
Abiria wakiingia ndani ya treni tayari kwa safari kutoka katikati ya jiji kueleke Ubungo.
Wanafunzi wakipanda katika behewa lao maalumu tayari kwa safari.
abiria wakiwa wameketi ndani ya behewa wakisubiri kuanza safari

Kichwa cha treni kikiunganishwa na mabehewa kabla ya kuanza safari.


Abiria akishuka baada ya kufika Ubungo

Abiria wakishuka Ubungo

Matengenezo ya Kuboresha Reli yanaendelea





No comments:

Post a Comment