|
BABA MWENYENYUMBA AKIWA NJE YA MJENGO WA BUNGE |
Mchezaji Nguli wa Timu ya Yanga Athumani Iddi Chuji Almaarufu "Baba Mwenye Nyumba" leo alikuwa kivutio kwa Wabunge wa Yanga na Simba baada ya kila mmoja Kung'ang'ania kupiga naye Picha. Tukio hilo limetokea baada ya Kikao cha 41 cha Bunge kukamilika majira ya saa saba na dakika sita. Nje ya Ofisi za Bunge kila kona ilihanikizwa na rangi za Kijani na Njano hali iliyopelekea umma kujazana Viwanja vya Bunge na kusababisha foleni kubwa kwenye Lango la kutokea viwanja vya Bunge.
No comments:
Post a Comment