BM BARBERSHOP KINONDONI

Monday, August 6, 2012

BREAKING NEWS!!!!!!!!!! AGGREY MORRIS WA AZAM KUMALIZANA NA SIMBA KESHO

BREAKING NEWS!!!!!!!!!! AGGREY MORRIS WA AZAM KUMALIZANA NA SIMBA KESHO
Beki wa Azam Aggrey Moriss ambaye kesho anamalizana na Klabu ya Simba ya Dar es Salaam akikabiliana na Mfungaji bora wa Kombe la Kagame kutoka Klabu ya Yanga Said Bahanuzi wakati wa fainali iliyopelekea Azam kufungwa Goli mbili bila Majibu.
Mapema leo Blog ya mwanatanga ilikuhabarisha kuwa Mchezaji Ramadhani Chombo Redondo amesaini kujiunga na Simba ya Dar es Salaam akitokea timu dada ya AZAM. Blog hii tena inakupa habari za UHAHIKA zilizoifikia blog hii kutoka kwenye chanzo sahihi cha Simba kuwa kesho Mchezaji Aggrey Morris atamalizana na Simba kwa kitita cha cha Kati ya Shilingi miklioni 20 na 25 za Kitanzania. Blog hii itaendelea kukujuza kwa wakati na kwa Uhakika kuhusiana na taarifa hii ya awali.

No comments:

Post a Comment