|
KUTOKA KUSHOTO NI FRANCIS KIFUKWE, BI FATMA KARUME, MH. MISANGA, YUSUPH MANJI, MKUCHIKA NA MHE. ZAMBI
Uongozi
wa Timu ya Yanga chini ya Mama Mlezi Bibi Fatma Karume ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Yanga pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Ndugu. Yusuph
Manji akishirikiana na Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga pamoja na
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga wakishuhudiwa na Wachezaji wote wa Yanga
leo 06/08/2012wamezindua Tawi la Yanga Bungeni mijini Dodoma leo. Tawi hilo
linawajumuisha Wabunge ambao niwakereketwa wa Yanga ambao idadi yao badi
haijaweza kupatika kwa haraka lakini watakuwa wanazidi hamsini kwakuwa kigezo
la kuwa na tawi ni lazima idadi ifikie hamsini. Uongozi wa Tawi hilo uko chini
ya Uenyekiti wa Mheshiwa>
Mheshimiwa: Hamisi Mussa Misanga – Mwenyekiti
Mheshimiwa: Abdallah Amer – Makamu Mwenyekiti
Mheshimiwa: Godgfrey Zambi – Katibu
Mheshimiwa: Grace Kiwelu – Katibu Msaidizi
Mheshimiwa: Martha Moses Mlata – Mweka Hazina
Aidha
Mwenyekiti wa Tawi la Yanga la Wabunge aliwataja Waheshimiwa wabunge wafuatao
kuwa kwenye Kamati ya Utendaji ya Tawi hilo.
Mheshimiwa: Halima Mdee
Mheshimiwa: Abbas Mtemvu
Mheshimiwa: Abdul Marombwa
Mheshimiwa: Ritta Kabati
Mheshimiwa: Victor Mwambalaswa
Mheshimiwa: Vicky Kamatta na
Mheshimiwa: Mohammed Chambo
Mwenyekiti
wa Tawi la Yanga Bungeni aliwataja washauri wa Tawi hilo kuwa na wajumbe
wafuatao:
Mheshimiwa: George Mkuchika,
Mheshimiwa: Zarina Madabida,
Mheshimiwa: Faki Makame na
Mheshimiwa: Chirtopher Chiza.
Pata Matukio mbalimbali katika picha jinsi hali ilivyokuwa leo MJENGONI
|
|
|
BENCHI LA UFUNDI, MFAUME ATHUMANI KOCHA WA MAGOLIKIPA, FRED FELIX KATALAIYA MIZIRO KOCHA MSAIDIZI NA TOM KOCHA MKUU
MHESHIMIWA MATHIAS CHIKAWE WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, MHE. ABAS MTEMVU,
|
BABA MWENYENYUMBA NA JERRY TEGETE |
|
MHE. MISANGA NA MANJI |
|
MHE. MARTHA MLATA |
|
KELVIN YONDANI, ALLY MUSTAPHA BARTEZ NA GUMBO |
|
MHE. CHIKAWE AKITETA NA MHE. ABAS MTEMVE |
|
MANJI NA MHE. MKUCHIKA |
No comments:
Post a Comment