Mchezaji Ramadhani Chombo Ledondo mchana huu amesaini Mkataba wa kuitumikia timu ya Simba baada ya kuwa ametolewa kwa Mkopo msimu uliopita. Habari za kina zitakujia Punde zikiambatana na Picha za Kutiliana Saini kwa Mkataba Huo. Hii ni www.mwanatanga.blogspot.com yenye habari za Uhakikika na Ukweli hapa Hakuna TETESI ni Habari zilizopimwa
No comments:
Post a Comment