ETI ZIWA LOTE HILI LIKO MALAWI???? MHHH inakera sana
MUONEKANO WA ZIWA NYASA KUTOKA ANGANI
NIMELIANGALIA
HILI ZIWA KWA MAPANA NA MAREFU KWAKUTUMIA JIOGRAFIA YANGU FINYU NA
KUBAINI KUWA UPANA TAKRIBANI KILOMETA 75 NA UREFU KILOMETA 570. WENZETU
WA MALAWI WANASEMA ZIWA LOTE LIKO KWAO KWAKUWA LINAITWA ZIWA NYASA NA
WANYASA WENGI WANATOKEA MALAWI. JE NASISI ZIWA TANGANYIKA TUDAI NI LETU
LOTE KWAKUWA LINAWAKILISHA JINA LA NCHI YETU??? JE INDIAN OCEAN WAHINDI
WADAI KUWA NI BAHARI YAO YOTE KWAKUWA INAWATAJA WAHINDI??? Nimekumbuka
wimbo enzi zile tulipokuwa wadogo miaka ya 1978 tuliimba hivi kwenye
mchakamchaka "Banda wa Malawi, Katuvalia Ngozi ya Simba Kututishia
Watanzania Hatujali Hatujali... DHANA HII INAJIRUDIA TENA HATUJALI
HATUJALI TUMREJIPANGA NA TUKO TAYARI KWA LOLOTE.....MUNGU TUSIMAMIE
KWAKUWA WAMETUANZA WENYEWE
No comments:
Post a Comment