JIHADHALI NA MATAPELI WA VOCHA ZA VODA ZA 5,000/=
TAHADHALI
MATAPELI WA VOCHA ZA SHILINGI 5,000 WAPO MJINI: Kuna kijana amefanya
kitendo cha kitapeli maeneo ya Ubungo nyuma ya Ubungo Plazza Kota za
Shekilango. Anapita kwenye maduka na kununua Vocha za 5,000/=
akishanunua anamuuliza mwenye Duka hivi ubauza kwa jumla au REJAREJA???
ukimuambia Rejareja nakumabia nilidhani unauza kwa JUMLA basi bwana.
Ukirejesha anakubadilishia (Change Quoter). Anakupa Feki na wewe unakua
umeshaingia Mkenge. Vocha hizo zinaonyesha Expire date ni tarehe
22/06/2011. Pia taarifa inasema kwamba kama ukijaribu kuingiza vocha
hiyo ya MAGUMASHI kwenye simu yako inaletea ujumbe kuwa Vocha hiyo
imeshatumika na kukuletea tarakimu Nne za mwisho za namba ya simu mfano
5523. Kuweni MAKINI WA DAU....... Hii ni kwahisani ya Msamalia mwema
No comments:
Post a Comment