Ni mwaka mmoja sasa tangu Mungu aamue kumpumzisha baada ya kumpa Kibali cha kuishi nasi kwa miaka 83 Mama yetu mpendwa, Bibi na Rafiki yetu Mpenzi!! Sisi watoto wa Marehemu Mwl: Anna Rose Nyirenda (Joseph Munanka, Josephine Mwankusye na Irene Munthali), Wajukuu, Ndugu na Marafiki tunaendelea kumtukuza na kumshukuru Mungu kwa neema hii ya ajabu katika maisha yetu.
Tutaendelendea kukumbuka hekima na busara zake katika familia, Ucheshi ,Ukarimu, Huruma na Upendo wake wa Agape!!!
Tutaendelendea kukumbuka hekima na busara zake katika familia, Ucheshi ,Ukarimu, Huruma na Upendo wake wa Agape!!!
Sisi tulimpenda lakini bwana alikuwa na haja nae, jina lake lihimidiwe.
NENO LA SHUKURANI: ZAB: 138
SALAMU HIZI KWA HISANI YA MWANAO KITINDAMIMBA
JOSEPHINE ARON MWANKUSYE
MKURUGENZI MTENDAJI
UMATI
No comments:
Post a Comment