BM BARBERSHOP KINONDONI

Friday, August 17, 2012

MSAFIRI DIOF RAPPA ANAYEJIKAANGA KWA MAFUTA YAKE

Katika maisha hakuna kitu kizuli kama kujitambua hasa ukiwa ni Kioo cha Jamii. Mwanamuziki mahili na Rappa asiye na Mpinzani Msafiri Diof amekuwa haonekani kwenye Kumbi nyingi za Dansi pale ambapo bendi yake Twanga Pepeta inapofanya Maonyesho.

Rappa huyu mwenye Vionjo kama vile Mama Vanessa na vingine vingi ambekuwa haonekani kabisa na kama akionekana ama kalewa au Mchafu ili mradi tu anatia KINYAAA. Vitendo vya kupita na kuombaomba kwenye Meza za wateja ni kawaida yake na pindi akipewa Pesa basi hutamuona tena. Huyu bwana haja jitambua au anajikaanga kwa mafuta yake. Msafiri Diof Badilika ufanye kazi siku hazingoji.

2 comments:

  1. total perfection! This guy is a cramp! He cant realize that people love him because of his job and talent! I wish we could fire him and see what he would do. Asante Mwanatanga!

    ReplyDelete
  2. Hii ni leaders kule jikoni!!! Kwa wazee wa grants! Na huyu ni Juma Kimokimo.... Hahahahaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete