|
JAMES KIBOSHO |
Mwanzoni nilijua kuwa Martin Kibosho na James Kibosho ni Mapacha kumbe
ni mtu na Mdogo wake. Utata huu ilikuwa ni kipindi kile wakati Martin
Kibosho akipiga Drum na Bendi ya Twanga Chipolopolo na James Kibosho
akikamua na Twanga International zote zikiwa chini ta ASET.
|
MARTIN KIBOSHO |
ebwana mm hapa cna mlakuse zaidi yaku subiri hiyo cku 2one bingwa
ReplyDelete