Wachezaji na Viongozi wa Yanga wakipata Maelekezo Kabla ya Kuingia kwenye Kumbukumbu ya Mauaji ya Kigali |
Msafara wa Yanga Ukiingia kwenye Kumbukumbu ya Kimbari...Niyonzima alikuwa muongozaji mzuri kwenye Eneo hilo la Kihistoria |
Mama Fatuma Karume anawaongoza Msafara Kuingia ndani ya Kimbari Memorial Tragedy |
Viongozi wa Yanga baada ya kuweka Mashada ya Maua kwenye Makuburi walipumzika kidogo |
Mazoezi yalikuwa hivi wakati wa Jioni |
Aheri hukutuonyesha hayo mafuvu na maiti zilizokaushwa. Hao Watutsi sijui wanapata faida gani kwa kuonyesha marehemu hao hadharani kama ni wanyama kwenye zoo badala ya kuwazika. Watu wa ajabu sana hawa. Maana yake wananyoshea mbari fulani kidole ili wa feel guilty na kukubali kupokwa haki zao za kiraia. Haisaidii kuponya majeraha mioyoni kwa jamii yao.
ReplyDelete