BM BARBERSHOP KINONDONI

Saturday, August 18, 2012

RATIBA YA EXTRA BONGO WAZEE WA KIZIGO HII HAPA




Bendi ya Exta Bongo wametoa Ratiba yao ya Iddi kama ifuatavyo:

Idd Mosi Bendi ya Extra Bongo itatoa Burudani katika Ukumbi wa New White Kimara ambao wanauliki wao wenyewe. Idd pili Extra Bongo watakuwa ndani ya Sinza kwenye ukumbi wa Meeda Njoo wewe na Yule uone kile walichokifanya walipokuwa Ughaibuni…. ULAYA ULAYA

No comments:

Post a Comment