BM BARBERSHOP KINONDONI

Wednesday, August 15, 2012

VERSE YA CHAZ BABA INANIKUMBUSHA MBALI SANA



Verse inasema hivi nanukuu
"Ehe kulia nalia machozi natoee mbona yapo mengi manyanyaso, manyanyaso yalianza toka siku ya arubaini tulipo kaa kikao cha mwisho kuhitimisha msiba wa marehemu baba yetu tugawane mali sisiwote watoto wa familia mimi wakaninyima sikupata chochote cha wazazi walinifukuza nyumbani wakanikataa wakasema mm sindugu wa damu yao"

AHSANTE CHARZ BABA KINGUNGE KWA KUNIKUMBUSHA NAJUA UNAJUA KUWA KIPANDE HIKI KINANIKUMBUSHA MENGI. be blessed Mwanatanga Mwenzangu najua umeenda kutafuta. Huko ni kazini lakini tutakutana Likizo NYUMBANI KWETU TANGA

No comments:

Post a Comment